Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

mmp

Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
33
Reaction score
2
Hi? Wana Jf Natafuta Mwanamke Wa Kuzaa Nae Mtoto,ataekua Tayar Ani Pm Tayari Kwa Mawasiliano.Asanten Sana
 
Unataka kuzaa naye tu au na kumt*mba?
 
Kwani lazima uzae na mwanamke?
Wanawake wamegoma kuzalishwa bila ndoa halafu kuja kusimangwa huku....

Na alie tayari kuzaa bila ndoa anataka mtoto ammiliki peke yake, baba atasingiziwa alikufa kwenye ajali ya meli so hana kaburi.
 
Hi? Wana Jf Natafuta Mwanamke Wa Kuzaa Nae Mtoto,ataekua Tayar Ani Pm Tayari Kwa Mawasiliano.Asanten Sana

Nina mashaka na ubongo wako aisee huwezi kuwa mzima kwa mtindo huu.
 
Tafuta wa kulea mimba kati yako na yule umpendaye. Hivi akipatika kichaa mmoja, mtoto huyo utamwachia au unategemea akuachie? Tofautisha kati ya huyu unayetaka akufungule miguu mpaka uhakikishe umemjaza, halafu aende kukaa hukooo mpaka afike siku ya kuzaa, umpeleke labour, akisha toa hicho kiumbe, uchukue kiumbe chako. Ati yoote hayo ni kwa sababu una fweza, lala na hiyo fweza ikupatie mtoto. Ka ulichezea wa kwako leo imekula kwako. Mali zako andikia mbwa wasio na wenyewe ambao siku hizi ni wengi tu
 
usipite msaidie ndugu yako ata kwa mawazo mana naamini adi kaleta swala lake uku amefanya mengi hajafanikiwa.
 
Kwani lazima uzae na mwanamke?
Wanawake wamegoma kuzalishwa bila ndoa halafu kuja kusimangwa huku....

Na alie tayari kuzaa bila ndoa anataka mtoto ammiliki peke yake, baba atasingiziwa alikufa kwenye ajali ya meli so hana kaburi.

Hahahaaaaa! Uwii you made my day
 
Ehe!
Ukimaliza kuzaa nae?
Unatupia jalalani kama kawaida yenu.
Mnadharau sana nyie viumbe..
 
Ehe!
Ukimaliza kuzaa nae?
Unatupia jalalani kama kawaida yenu.
Mnadharau sana nyie viumbe..
Wanavyokujaga hapa kuwaponda wanawake wanaozaa bila ndoa utadhani hawa wanawake wanayafanya peke yao.
Kumbe wao pia ni wahusika.
 
Wanavyokujaga hapa kuwaponda wanawake wanaozaa bila ndoa utadhani hawa wanawake wanayafanya peke yao.
Kumbe wao pia ni wahusika.

Wakishaakuzalisha, kila utakae kuwa nae kwenye mahusiano: akiskia tu unamtoto anapita kushoto ila wao sasa kwa wanavyopenda wakuoe ili tu ukalee watoto wao! unakuta anawatoto hata wanne kila mtoto na mama yake na anataka kuoa ili apate mtu wa kumlelea wanae!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom