Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

Mke unaye na hamjajaliwa mtoto ama ?

Otherwie watu kama nyie ndio mtasababisha wale wanasayansi wanaotaka kuanzisha huduma ya UHAMILISHAJI kwa binadamu waanze harakati za kuomba uhalali wa kufanya hivyo.
 
Kwani lazima uzae na mwanamke?
Wanawake wamegoma kuzalishwa bila ndoa halafu kuja kusimangwa huku....

Na alie tayari kuzaa bila ndoa anataka mtoto ammiliki peke yake, baba atasingiziwa alikufa kwenye ajali ya meli so hana kaburi.

Ndio maana yake... ikitokea amekuja unamwambia huyu uncle wako ni cousin angu wa pili
 
Wakishaakuzalisha, kila utakae kuwa nae kwenye mahusiano: akiskia tu unamtoto anapita kushoto ila wao sasa kwa wanavyopenda wakuoe ili tu ukalee watoto wao! unakuta anawatoto hata wanne kila mtoto na mama yake na anataka kuoa ili apate mtu wa kumlelea wanae!
Uyaya huo nilikataa mie. Yani naingia tu na majukumu mazito...
Ila kweli kuna wanawake wana moyo aisee...
Mkaka ana watato WATANO... yani TANO ile 5
Kaoa mdada ana 26yrs sasa labda huyo dada asipngeze mtoto maana hao watoto hakuna aliefika miaka 10. Umri wa shuleni.
 
Kwani katika ndugu zako hujapata hata mmoja ili muendeleze udugu maana huyu wa kutafuta nahisi mtatapanya familia. Pia ukisoma signature yangu utagundua umetuzidi tayari.
 
Uyaya huo nilikataa mie. Yani naingia tu na majukumu mazito...
Ila kweli kuna wanawake wana moyo aisee...
Mkaka ana watato WATANO... yani TANO ile 5
Kaoa mdada ana 26yrs sasa labda huyo dada asipngeze mtoto maana hao watoto hakuna aliefika miaka 10. Umri wa shuleni.

My dia, wanaume ni hatari sana...
anakuzalisha na kukuacha kisa umechuja: Anatafuta vitu vikali na vipya..
Hawa ni wa kucheza nao makini dia.
 
Tafuta wa kulea mimba kati yako na yule umpendaye. Hivi akipatika kichaa mmoja, mtoto huyo utamwachia au unategemea akuachie? Tofautisha kati ya huyu unayetaka akufungule miguu mpaka uhakikishe umemjaza, halafu aende kukaa hukooo mpaka afike siku ya kuzaa, umpeleke labour, akisha toa hicho kiumbe, uchukue kiumbe chako. Ati yoote hayo ni kwa sababu una fweza, lala na hiyo fweza ikupatie mtoto. Ka ulichezea wa kwako leo imekula kwako. Mali zako andikia mbwa wasio na wenyewe ambao siku hizi ni wengi tu

Uuuuuuuuiiiiii
mbavu zangu mie jamani....
 
tafuta dadako uzae nae.!! hapo utakuwa umepata wa kumzalisha tu na kukulelea mtoto wa familia ya udharimu
 
mmh ulimwengu wa digitali!!!!!!!, yaani unataka mtu wa kuzaa naye tangu lini watu wawili wakazaa mtoto mmoja mwanaume hazai anazalisha sasa kama kunatechnolojia umepata ya kuzaa na mwenziyo hii ni mpya.

jambo jingine wewe una akili kidogo sana hivi wewe ulilelewa na mzazi mmoja?

usipende kudhalilisha utu wa watu ndyo maana umekuja kujaribu humu kama utapata vichwa maji wenziyo uzae nao sijui ndo iweje mkatupe chooni?

take care of your head it is taking you to hell.
 
Hi? Wana Jf Natafuta Mwanamke Wa Kuzaa Nae Mtoto,ataekua Tayar Ani Pm Tayari Kwa Mawasiliano.Asanten Sana

Sijui sijakuelewa vizuri, unaka kuzaa nae yani huna Choice Ya mama wa mtoto wako awe na tabia gani?
 
Uyaya huo nilikataa mie. Yani naingia tu na majukumu mazito...
Ila kweli kuna wanawake wana moyo aisee...
Mkaka ana watato WATANO... yani TANO ile 5
Kaoa mdada ana 26yrs sasa labda huyo dada asipngeze mtoto maana hao watoto hakuna aliefika miaka 10. Umri wa shuleni.

Uwiiiii. Dhambi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom