Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

Digital Ticha

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
139
Reaction score
200
Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto.

Sifa zake

Dini yoyote.
Umri 25-35
Kabila lolote
Rangi mweupe
Elimu at least secondary education.
Kazi yoyote descent
Awe anaishi DSM
Awe tayari kupima afya


Sifa zangu
Umri 41
Rangi black
Elimu postgraduate degree
Napatikana Dar
Kazi kibarua kwa mhindi
Dini mkiristo
Body mrefu mwembamba

Lengo kubwa ni mtoto ila mengine pia yanawezekana.

Nitafute tuyajenge

Nicheki PM.

Au digitaliticha@gmail.com
 
mkuu kama uko serous tiktok inge kufaa sana chap tu ila inatakiwa uwe na followers wengi ili kukupa machaguo stahiki, huko kuna warembo na unawaona unaweza wachunguza pia kupitia post zao za nyuma kujua tabia zao walau,


fullstop, kwishaaaa
 
upuuzi tu mnaongeza single mothers. kwanini usitafute ndoa kijana mzee? la nenda kaasili watoto wasio na baba
 
Nashindwa kuelewa Yani hujawaelewa unaopanda nao daladala huko au unakonunua mihogo mpaka unakuja kutafuta huku kwenye majina na tabia za uwongo.
 
Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto.

Sifa zake

Dini yoyote.
Umri 25-35
Kabila lolote
Rangi mweupe
Elimu at least secondary education.
Kazi yoyote descent
Awe anaishi DSM
Awe tayari kupima afya


Sifa zangu
Umri 41
Rangi black
Elimu postgraduate degree
Napatikana Dar
Kazi kibarua kwa mhindi
Dini mkiristo
Body mrefu mwembamba

Lengo kubwa ni mtoto ila mengine pia yanawezekana.

Nitafute tuyajenge

Nicheki PM.

Au digitaliticha@gmail.com
Eti Mjomba,hiyo Postgraduate degree ndiyo elimu gani kwenye hii nchi yetu ya Kizimkazi?
Ninanchofahamu mimi Mjomba wako, kuna Postgraduate diploma eti! Na mara nyingi husomwa ndani ya mwaka mmoja, ukilinganisha na degree ambayo Kibongo bongo huanzia miaka 3 na kuendelea.
 
Eti Mjomba,hiyo Postgraduate degree ndiyo elimu gani kwenye hii nchi yetu ya Kizimkazi?
Ninanchofahamu mimi Mjomba wako, kuna Postgraduate diploma eti! Na mara nyingi husomwa ndani ya mwaka mmoja, ukilinganisha na degree ambayo Kibongo bongo huanzia miaka 3 na kuendelea.
Jifunze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom