- Thread starter
- #21
Vya bure vibaya mkuu kuwa makini
sio bure nampa raha naye ananipa raha.hapo kuna bure au kupeana?kwani muhusika hasikii raha anapozamishiwa?
Vya bure vibaya mkuu kuwa makini
mkuu kwani hujui kuwa mwenyekiti wetu katangaza mapumziko ya valentine?eboh!
Ahsante kwa taarifa. Hivi jana Man U na Arsenal matokeo yalikuwaje?
mi shule nilishamaliza zamani hapa natafuta hela,ila sipendi stress za kuwa na mke ndani.napenda kushugulikia mabinti na wake za watu na kuondoka tukutane muda wa ku do tu,kazi yangu inahitaji niwe bize sana mke atanichoka bure.
Kwani huko uliko hawapo?
mi shule nilishamaliza zamani hapa natafuta hela,ila sipendi stress za kuwa na mke ndani.napenda kushugulikia mabinti na wake za watu na kuondoka tukutane muda wa ku do tu,kazi yangu inahitaji niwe bize sana mke atanichoka bure.
hili ni lijinga na tena ni limalaya kuliko hata wanaojiuza. ------- kama hukua na cha kupost si bora ungekaa kimya? kuliko kutuletea thread za kijinga. utakufa na ukimwi mpuuzi wewe. na ole wako nikuone hapa mtaani kwetu utanitambua
narishisha wanawake unasema upuuzi mkuu?
sitaki wa kununua,sina hela za mchezo.nataka wa kupeana raha tu sio kuhongana
Kisa cha kumshangaaaa...???!!atakaejitokeza namshangaa sana
narishisha wanawake unasema upuuzi mkuu?
yaani unazidi kunifurahisha unapozidi kujitetea. Na kuitetea thread yako Hahahahah