Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,006
- 72,305
yaani unazidi kunifurahisha unapozidi kujitetea. Na kuitetea thread yako Hahahahah
Msaidie kuteteaa
yaani unazidi kunifurahisha unapozidi kujitetea. Na kuitetea thread yako Hahahahah
Mi natoa mtanange wa uhakika kwa anayeenda kusuguliwa ajitokeze. anayetaka hela akae pembeni.
Msaidie kuteteaa
nimsaidie kutetea kwani mimi ndo nina shida ye mwenyewe anashindwa kujua kwamba inabidi atumie hela mwanzo ili apate vitamu akicheza mechi vizuri mwenyewe ataomba mechi ya marudiano from there onward hatoi hata jero ya vocha
mi shule nilishamaliza zamani hapa natafuta hela,ila sipendi stress za kuwa na mke ndani.napenda kushugulikia mabinti na wake za watu na kuondoka tukutane muda wa ku do tu,kazi yangu inahitaji niwe bize sana mke atanichoka bure.
Sie wote hatutaki kua vipozeo kama vipi tangaza ndoa,
Ukatikiwe bure nani kasema kanunue mdoli utakukatia utakavyo
Vya bure vibaya mkuu kuwa makini
^^
Walivyo na roho nzuri, unaweza kuwapata
^^