Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
Mhh,
nimempata huyu mlimbwende ,
ila haka kamila kao kananiboa ,naweza badili msimamo!
nimempata huyu mlimbwende ,
ila haka kamila kao kananiboa ,naweza badili msimamo!
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 32,dini yangu ni muislam.
Nahitaji mwanamke wa kuoa,awe muislam ,
awe amemaliza form four .Kazi sio lazima.
Yeyote anayehitaji kupata nusra tafadhari tuwasiliane.
Its serious.
we ni mgeni humu ndugu yangu???? make sure u edit ur post utafukuzwa na wakongwe wa humu hawapendi tabia hiyooo,,,,
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 32,dini yangu ni muislam.
Nahitaji mwanamke wa kuoa,awe muislam ,
awe amemaliza form four .Kazi sio lazima.
Yeyote anayehitaji kupata nusra tafadhari tuwasiliane.
Its serious.
Mwananyamala wamejaa kibaoo. Huku kila mmdemu ana wake tayari.Loh
Mwananyamala wamejaa kibaoo. Huku kila mmdemu ana wake tayari.Loh
Na wewe kaka una sifa gani, let say if I am interested???[/QUOTE
kazi-mjasiliamali
maskan-morogoro
kabila-mixer ya mzigua&mluguru
Nashukuru MadameX kwa ushirikiano wako,
Kwa kifupi nina elimu ya chuo toka CBE-dodoma(ADA),Ni mrefu wa wastan,
sipendi makuu,napenda ukweli na nachukulia changamoto za maisha kama potential opportunities toward success.,
Na wewe kaka una sifa gani, let say if I am interested???
au angalau una kiwanya na kibanda cha chipsi na barMwaga mashairi hayo mkuu, kumbuka kama unataka kuoa uchagani usisahau kusema una gari na mjengo wako wa ghorofa uko hatua za mwisho Mbezi Beach (hata kama sio kweli, kwani muhimu kwa sasa ni kung'oa mzigo tu).
Na wewe kaka una sifa gani, let say if I am interested???
Malaria Sugu umerudi kivingine
Mwananyamala wamejaa kibaoo. Huku kila mmdemu ana wake tayari.Loh
Kuoa au kuwowa?