Natafuta mwanamke wa kuoa.

Nashukuru MadameX kwa ushirikiano wako,
Kwa kifupi nina elimu ya chuo toka CBE-dodoma(ADA),Ni mrefu wa wastan,
sipendi makuu,napenda ukweli na nachukulia changamoto za maisha kama potential opportunities toward success.,

Na wee ulitoa ngapi mzee hata ukapata gamba la CBE, maana pale mkwanja tu kwa kwenda mbele.
 
Bado tu hujabatika?Mi nna sifa zote ulizotaja isipokua umri!!Huwezi kubadilisha mawazo hapo?
 
usijal utakuwa tu mpambe wa bwana harusi,maanake naona uporace cna japo chinichini,

Ha ha ha ha! akili zako zinakutosha wee hata ukanipa upambe wa bwana harusi, nitapiga kanzu ya Oman then huyo demu wako ata-change kibao ili nimchukue mimi, sasa sjui utaja shtaki hap JF hali ya kuwa shavu umenipa mwenyewe!
 
Duh,
hizi sasa ni "zereu",kama kwa mkwanja nenda nawe kachukue mtu wangu,
huko hujatoa mkwanja

Mkuu usishituke hiyo ndiyo hali halisi ya chuo ulichosoma!Kujitambulisha kwa jina la chuo hicho ulichosoma ni lazima uwe mjasili.Maana elimu ya pale imechakachuliwa!pole sana mkuu!!
 
Usijali utampata tu kuwa mvumilivu tatizo lenu mkiishapata mnachotafuta huwa hamrudi kugonga thanks
 
Mkuu usishituke hiyo ndiyo hali halisi ya chuo ulichosoma!Kujitambulisha kwa jina la chuo hicho ulichosoma ni lazima uwe mjasili.Maana elimu ya pale imechakachuliwa!pole sana mkuu!!

Nimekupa tenksi kamanda, huyu dogo anataka kujifanya hajui kuhusu mkwanya na CBE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom