Natafuta mwanamke wa kuoa.

we ni mgeni humu ndugu yangu???? make sure u edit ur post utafukuzwa na wakongwe wa humu hawapendi tabia hiyooo,,,,
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 32,dini yangu ni muislam.
Nahitaji mwanamke wa kuoa,awe muislam ,
awe amemaliza form four .Kazi sio lazima.
Yeyote anayehitaji kupata nusra tafadhari tuwasiliane.
Its serious.
 
Mwananyamala wamejaa kibaoo. Huku kila mmdemu ana wake tayari.Loh
 
Nashukuru MadameX kwa ushirikiano wako,
Kwa kifupi nina elimu ya chuo toka CBE-dodoma(ADA),Ni mrefu wa wastan,
sipendi makuu,napenda ukweli na nachukulia changamoto za maisha kama potential opportunities toward success.,

Mwaga mashairi hayo mkuu, kumbuka kama unataka kuoa uchagani usisahau kusema una gari na mjengo wako wa ghorofa uko hatua za mwisho Mbezi Beach (hata kama sio kweli, kwani muhimu kwa sasa ni kung'oa mzigo tu).
 
Na wewe kaka una sifa gani, let say if I am interested???

au angalau una kiwanya na kibanda cha chipsi na bar
 
Na wewe kaka una sifa gani, let say if I am interested???

Nashukuru MadameX kwa ushirikiano wako,
Kwa kifupi nina elimu ya chuo toka CBE-dodoma(ADA),Ni mrefu wa wastan,
sipendi makuu,napenda ukweli na nachukulia changamoto za maisha kama potential opportunities toward success.,
 
Malaria Sugu umerudi kivingine

simjui,simfaham wala simuelewi huyo umsemae {malaria sugu},
tuheshim mawazo ya mtu,na wala tusitawaliwe na hisia ktk ku'argue' hoja ya mtu,
ni mtazamo tu,
kweli hakuna mchumba {wa kike},hapo kwenu?,ni nusra hii ndugu!
 
ungetoa contact anayetaka akutafute au ndio mpaka Piiemu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom