Natafuta mwanamke wa kuoa

Una utani kumbe๐Ÿ˜‚
Yeah mimi hutakiwi kunipa promise za ahadi ukadhani nitakata tamaa, unavyozidi kukaza ndo unavyo zidi kunipa morali ya kukutafuta. Ikiwezekana nitawaambia na mods waifungue PM yako kwa vipande vya sarafu. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nenda tiktok, utampata chap within a minute
 
Sasa ndugu umeokoka kweli au unatania, umekosa mke makanisani mpaka uje mitandaoni? Hawa wa mitandaoni utawaweza? Kazi kwako mpendwa!
 
Dahh unanikoleza kiaina, una mitego wewe!
Ni vile tu hutaki moyo wako unipende, ila ni wazi kabisa moyo wako upo tayari kukaa kwenye malavidavi na mimi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ