Ebeneza2018
Member
- Oct 8, 2017
- 15
- 44
Ni mbali tumetoka mpaka hapa tulipofika ,hakika ni Ebenezer.Hello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
YesMkuu unakuja kutafuta wanawake jf? Humu wote ni matajiri ukwasi unao?
Anamiliki shingapi benki mengine yanavumilikaCv haijakamilika tuambie
Una babymama wangapi?
🤣🤣🤣🤣🤣 kazi ni kazi dadaAna kazi gani? Sio tufike tuanze kukopesha mabeseni kama waha