Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,132
- 10,514
Habari
Mimi ni kijana mwenye miaka 30
Sifa zangu:
Rangi: Mweusi sio sana
Kimo: Mrefu wastani
Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech
Kazi: IT Support (Sekta Binafsi)
Mkoa kuzaliwa : Geita
Kuishi: Arusha
Dini: Mkristo
Mwanamke sifa zake
1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida.
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kuanzisha familia.
3. Elimu wastani awe ni kidato cha nne
4. Umri wake awe kati ya 20-28
5. Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe HIV+
Akitokea Arusha ama Kilimanjaro itakuwa vizuri zaidi.