Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Cele90

Member
Mar 19, 2015
39
19
Husika na kichwa cha habari,

Nina umri wa miaka 26, nina elimu ya chuo kikuu na ajira pia. Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo ambapo Mungu akipenda aje kua mke wangu wa ndoa;
a. Muislam
b. Umri wa miaka 22-25
c. Uwe mweupe, sio "black beauty"
d. Elimu kuanzia Form 4
e. Uwe na tabia njema, mimi sio mtu wa malumbano

Kama una vigezo tajwa tuwasiliane kupitia PM.
 
Husika na kichwa cha habar, nina umri wa miaka 26, nina elimu ya chuo kikuu na ajira pia. Natafuta mwnamke mwny sifa zifuatazo ambapo Mungu akipenda aje kua mke wng wa ndoa;
a. Muislam
b. Umri wa miaka 22-25
c. Uwe mweupe, sio "black beauty"
d. Elimu kuanzia Form 4
e. Uwe na tabia njm, mimi sio mtu wa malumbano

Kama una vigezo tajwa tuwasiliane kupitia PM.
Kiukweli Mkuu JF kuna watu wachache sana,nashaur tu labda labda watak tukipata muhusika wa vigezo tukutaarifu Mkuu
ila njia nzuri zaidi,omba Mwenyez Mungu alaf utafute na uchunguze kwa macho yako,naamini utafanikiwa 100% na mtadumu
 
Asante sana Msomali, feed back yako ni educative.
 
Antivirus yng ina latest definitions,,,,
Np serious Chenchele nipe msaada wako ata wa mawazo
Since New viruses are constantly being created by hackers or whatever, Antivirus programs must keep an updated databases of virus types. This databases includes ''VIRUS DEFINITIONS '' that the Antivirus software references when scanning files....... My brain best ends here.
 
Antivirus yng ina latest definitions,,,,
Np serious Chenchele nipe msaada wako ata wa mawazo
You need to update ur Antivirus databases for ur device protection, if its Windows defender or application software , press where written UPDATE...
 
Wana JF bado nipo kwny mchakato, akijitokeza nitawapa mrejesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom