Natafuta mwanamke uk /usa


Nenda pale "Penthouse", Georgia Avenue, Washington DC........ wako wengi wa kumwaga
 
Anatafuta mwanamke wa kusuzia rungu akiwa either UK au USA na sio mke watch out pancrease

jamani ebu acha hizo, mie sitafuti ya kusuuzia. kama ingekuwa hivyo nisingeleta humu ndani.
 
Jamani wana JF, Thread hii haijafanikiwa, bado unaruhusiwa kuchangia kama wewe ni mwana mke na uko unatafuta mume wa kuolewa naye...
 

Mkubwa humu hutakosa...tena kwa huko uliko, hapa umewapata kaka...................all the best mzee
 
M interested na bizness unafanya bzness gani nikujoin?
 

Ulifanikiwa mkuu?
 
Jamani wana JF, Thread hii haijafanikiwa, bado unaruhusiwa kuchangia kama wewe ni mwana mke na uko unatafuta mume wa kuolewa naye...

dah ningezaliwa USA saa hizi si nigekuwa nimeshapata mume! Ulofa huu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…