Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

Mtaani na kuzurura kwako umekosa.Mnashangaza sana
 
Jenga maisha yako kwanza, ndipo itakuwa rahisi kwako kumpata huyo mwanamke wa kuoa. Wanawake wa kujenga nao maisha kwa sasa wamekwisha mtaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom