Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi.!!!!

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
sababu 6 kwa nini napenda bia kuliko mwanamke...! 1;ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza (haina mapozi) 2; ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii (haina wivu) 3;Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua (huwa bikira) 4;unaweza kushirikiana na mwenzia bila wivu wowote. 5; wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi (hamu haiishi) 6; bia siku zote haindi mwezini wala siku zake, bia siwezi kuiacha naipenda sana.!
 
Ya wakati ulee... Miaka ilee .... Naintiin kweusi! Tafuta new editions bhana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom