Hamna bhana we ubraza wako unaonekana kidogo huvuki sana mipaka 😅Usisikilize maneno ya watu mbona ata mi watu wanajua nina jinsia tata!
Huyo mwanao mpaka minyau anavuka 😂
Hamna bhana we ubraza wako unaonekana kidogo huvuki sana mipaka 😅Usisikilize maneno ya watu mbona ata mi watu wanajua nina jinsia tata!
Hawa special group , siku hizi ndio wanakuja kwa mtindo huo bwasheeMe ndio maana nimeuliza maana kuna sehemu niliona yupo hivi huku yupo hivi nikaona msala huu
Anaruka viunzi sana nayeye! Shenzi tu mwanzoni nikajua lesbo kumbe yamekuwa haya tenaHamna bhana we ubraza wako unaonekana kidogo huvuki sana mipaka 😅
Huyo mwanao mpaka minyau anavuka 😂
😅😅😅 au kisiwa cha mnemba kabisaKaribu mkwe, kitotochaMama binti yangu mume ndio huyu! Hebu chuma mawe hapo valentines tukapumzike nungwi🤓👌🏽
😂😂😂😂😂Si uzame tu tinder mzee