Natafuta mwanamke mpweke



Pole kwa mtazamo huu jiandae dhoruba kama ya mwanzo..rejea kitabu cha mwanzo..na mwanamke atazaa kwa uchungu, mwanaume atatafuta kwa jasho. Dini,jamii na mazingira ya uumbaji umeweka mwanaume kama mtafutaji mkuu.
Rejea tena kitabu kitakatifu ...mwanamke ni msaidizi, tena kinaainisha ni kiumbe dhaifu.
Hivyo usiingie kwenye ndoa ukasema hapa ni 50-50. Kuna kusaidiana kwa hali na mali na inapendeza ila mnapokuwa wote hamna baba ana wajibu wa kuhangaika zaidi. Tena toa mawazo kabisa ya kumfanya mkeo ndio bread earner..... ukikubali haya basi ukubali na aftermath zake.

All the best mkuu.
 
imi nimekuelewa sana mleta uzi, wewe ndio unatafuta wife material, nikiangalia comment zako napata picha halisi ya maisha yako , ingawa wengi kwakuwa ni Magoldiger wanaona hufai. Ningekuwa n'a dadaangu ambae hajaolewa ningekugawia tena buree.
 

upweke unatesa kuliko nyege
 
tupo wengi tunaohitaji wanawake aina iyo lkn hatujui wapi tutawapata.kama kuna mwanamke anayetaka mume wa kuishi naye kwa ndoa nipoooi.(sina nyumba wala gari)atakula na kuvaa vizuli.aliyetayali 0687 89 89 79.anakaribishwa awe muislam tu
 
wanaume mkipata mke anaeridhika na hali yenu mkaanza kijichanga mnaanza kuleta vijisifa vingine oo ni mwrmbamba sana. ana kipilipili maziwa yake sio yakifuu! mmoja aliniona mi wanini akaoa duuu mmoja hivi anaishia tu kunililia oo mi ntakufa masikini. watoto wangu wataiga nini kutoka kwa mama. nkamwambia we vumilia tu utakufa masikin lakin umefaidi vitamuuuu
 

duuh! Miaka 37 bado huna mke ww umepotea... Hata ukipata huyo mke huwez kummudu.
Ndio matatzo ya kung'ang'ania mara diploma mara degree wakata hata hujaoa
 

Please!! Rudi kwa mumeo na utabarikiwa.:-!
 
louis de broglie .weerree alikuwa mpenzi tu hakuwa mme ntabarikiwa kwa mwingine mi sio kituo chakupokea walio shindwa na maisha
 
louis de broglie .weerree alikuwa mpenzi tu hakuwa mme ntabarikiwa kwa mwingine mi sio kituo chakupokea walio shindwa na maisha

Nimeipenda hii, yani jitu lijizururishe huku, mapenzi yamempiga vibao ndo anarudi kwa adabu....ringa bibieee....!
 
Ondoa Shaka Kinyau, ---Mimi ni mtu mwenye msimamo..! Na anayejituma vilivyo sema juhudi zangu zimekwamishwa kwa namna moja au nyingine na mwenzi waangu Niwahi kumfungulia vitega uchumi ili tusaidiane katika "Fight" Kama( Salon,mitaji yakununua bidhaa za akina mama na kusafiri..Kwa bahati Mbaya hakufika mbali navyo..Pili(Kila sent niliyoipata ililetwa nyumbani na kumuuliza hii yaweza kufaa kunya kitu gani cha maendeleo)..Kama ni Namna ya matumizi ya Nyummbani yeye ndiye alikuwa akipanga kinunuliwe kipi na kiliwe kipi..........! Kwa namna nilivyompenda na kumthamini ikafika wakati nashindwa kubaki na balance yoyote..Ilimradi pale anapopungukiwa nipajazilizie..Lakini Mambo hayakuwenda....! kwasababu Maendeleo haya kuja haraka na kwa wakati alioutaka yeye...Pressure ikabidirisha namna yangu ya kuwaza na kutenda mpaka nikaharibu kazi nilizo kuwa nazifanya....Ndio Mambo yakawa magumu zaidi......Sasa nadhani nahitaji mshauri mwingine mwenye maono na uvumilivu fulani....pia Mwenye hofu ya Mungu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…