miaka 8 huja do, pombe hunywi? kuna watu wana roho ngumu, kwahiyo maisha umeshayapata yote? wasubiri watakuja hao ambao siku wakikupa utajaza ndoo ya sha.hawa
ninamtoto mmoja je upo tayar????
Njoooo kwa PMninamtoto mmoja je upo tayar????
Kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna mwanamke yupo teyari kuolewa na mwanaume mwenye uwezo wa kula mlo mmoja tu kwa siku..nakushauri uendelee kuabstain tu mkuu..
Duh nilihisi kakosea kuandika! Kumbe kamaanisha mlo mmoja kweli?!! Mungu amsaidie
Huyo ni mboga 7,amesema ni wa mlo mmoja makusudi ili ampate hasa mwanamke asiejali kipato chake.Duh nilihisi kakosea kuandika! Kumbe kamaanisha mlo mmoja kweli?!! Mungu amsaidie
Nina miaka 37...Hawe ni mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha....Anayejali na kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha... Nina jiheshimu na ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo...Baada ya ndoa yangu kuwa na mgogoro nina miaka8 sijatembea na mwanamke yeyote yule.... si kwasababu sina hamu au siwaoni....Bali ni uamuzi tu...!
Mwenye anadhani tunaweza kuendana naomba ani PM.
ANGALIZO: Mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa Mlo mmoja kwa siku...sinywi Pombe,sivuti, wala kutumia kilevi cha haina yoyote...Hivyo asijitokeze mwanamke anayetaka Majumba na Magari(mimi sina)..Ila napambana ofcourse kupata maisha mazuri ingawa siku yangu haijafika bado..!
jamani wanawake wengine mwenzenu mi nko tofauti issue ya mlo mmoja au mlo SIFURI sio kipaumbele kwangu je anajituma kutafuta? na akipata ana money displine? ananipenda nakunidhamin? if yes... kuna watu wanahela ila utasononeka kila siku kwa kero. GREAT M ningeingia kwenye mchujo lakini hyo ndoa ya kanisani/hukawii kubadilisha mawazo loooh
tafuta amani kwenye ndoa yako mchepuko co ishu.
Duh miaka 8 hujaonamo!!!
utakuwa na wingu hatari....
kuna mambo huma aiseee! unaweza ukajipa misifa yooote kumbe hamna kitu! any way kila lakher mkuuuuuu