Obed maagi
Member
- May 24, 2024
- 33
- 37
Ukikoswa kujitambua kwenye maisha unatapatapa na utatapatapishwa, uwezi kuwa na ajira na pesa na kutafuta mwanamke wa ndoa social media, watu bora ni adimu kizazi hiki jasiri cha uovu kilichokoswa mema na ndio maana kinajiweka wazi kufahamisha umma ni chema, wema ambao hakina.Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
- awe Muslim
- mweupe
- 19 to 22 years
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
- awe amelelewa kimaadili
- awe tayari kuwa na watoto watatu
- awe kabila lolote
- awe mwembamba itapendeza
Njoo nikukague kama bikra nitakuoaUsiruhusu dada au mtoto wako wa kike afanyiwe huu upumbavu?
Sasa wewe unataka kujitilisha huruma humu unatukanwa huoni u sensitivity ktk mada yako? Yaani bikra inatamkwa tuu kama just sikio au mguu! Kweli maadili sio kama yameshuka bali hayapo kabisa.Hapo sasa ndio unashangaa wananitukana bila sababu, kama wanajijua sio bikra si wake kimya
Asante kwa maoniUkikoswa kujitambua kwenye maisha unatapatapa na utatapatapishwa, uwezi kuwa na ajira na pesa na kutafuta mwanamke wa ndoa social media, watu bora ni adimu kizazi hiki jasiri cha uovu kilichokoswa mema na ndio maana kinajiweka wazi kufahamisha umma ni chema, wema ambao hakina.
Ukiona mwanaume anatafuta wanawake social media jua hana ubora wa kuwa mume na Baba wa familia, majira haya wanawake ni bidhaa cheap iliyodorola sokoni ikihitaji walanguzi.
Haya ni majira ya kuficha ubora wako ili kugundua nia na lengo la unayemuhitaji, mwanaume jifanye maskini ili wavutiwe na haiba yako upendo uwe ni kwa jinsi ulivyo na sio ulivyonavyo, wewe kijana MD umekwama na elimu yako kujitangaza ulivyo na unavyo vimiliki.
Huoni kua bikra ni thamani ya mwamke? Maadili yameshuka kiasi kwamba anasema mema anaonekana ametukanaSasa wewe unataka kujitilisha huruma humu unatukanwa huoni u sensitivity ktk mada yako? Yaani bikra inatamkwa tuu kama just sikio au mguu! Kweli maadili sio kama yameshuka bali hayapo kabisa.
Mimi sio muislamu.Njoo nikukague kama bikra nitakuoa
Sawa ila kama bikra nitakuoa tuMimi sio muislamu.
Asante kama una connection ya demu bikra nisaveKila la kheri mkuu
Zote broBikira ya Yas au hii hii ya kawaida?
Majini hayatasumbua kitimoto kikipikwa??Sawa ila kama bikra nitakuoa tu
Mkuu hata nilichokiandika hujakielewa pia. Tuishie hapa kila la kheri ktk kupata bikra hapa jukwaani.Huoni kua bikra ni thamani ya mwamke? Maadili yameshuka kiasi kwamba anasema mema anaonekana ametukana
Baby kikubwa uwe bikra hayo mengine ni ziadaMajini hayatusumbua kitimoto kikipikwa??
SawaMkuu hata nilichokiandika hujakielewa pia. Tuishie hapa kila la kheri ktk kupata bikra hapa jukwaani.
Andaa mahari nguruwe 13 na kreti 17 za bia. Mtayarishe na sheikh kwa ajili ya ndoa.Baby kikubwa uwe bikra hayo mengine ni ziada
Hapo pagumuZote bro
Unanihakikishia nitaikuta bikra?Andaa mahari nguruwe 13 na kreti 17 za bia. Mtayarishe na sheikh kwa ajili ya ndoa.
Sio kweli wapo waliojitinza na wanao zote ila asante kwa maoniHapo pagumu
Ataekwambia anayo hayupo.
Na ata akikwambia anayo mpk upige ndo utajua.
Tafuta mwenye Tabia njema na hofu ya Mungu, kuna waliobikiriwa wakawa vicheche pia
Hao washenzi watakuwa watu gani zaidi ya hawa wanaotafuta bikira hapa jukwaani JF??Sasahiv nahisi Kuna washenzi wanatabia ya kurubuni vitoto vidogo ili wawatoe bikra kiasi kwamba ni nadra kukuta bikra hata kwa watoto wa shule ya msingi,...... Hii ni kero kubwa sana serikali iingilie kati!! Kiwe kigezo Cha mwanamke kwenda form six! Yaani ili mwanamke aingie form six awe bikra