suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,493
- 2,976
hahahahhahha
but mbona english language tu?
Umri wa huyu jamaa ni kama wa madada wa bongo!!! umri gani huu hausogei tokea 2015 ni 50yrs.
Kumbe umeshafika nilitaka nikutag shosttatizo langu mimi sijitambui ningemtafuta
Hii chance lazima tubanane kwakweli.Hapa pazuri aisee! Maelezo tu mie hoi!
Acha ujinga ww mimi nishamfuata huko pm na tushamaliza
Ohoooooo!!December 2015- 50yrs
December 2017-50 yrs? au umejisahau uzi ulio pita?
Mchumba kagoma kuzeeka, nani anautaka uzee!!Umri wa huyu jamaa ni kama wa madada wa bongo!!! umri gani huu hausogei tokea 2015 ni 50yrs.
Kamata fursaHapa pazuri aisee! Maelezo tu mie hoi!
?????December 2015- 50yrs
December 2017-50 yrs? au umejisahau uzi ulio pita?
Hapana kwa kweli... Nafasi zitakua zimejaaKamata fursa
Fursa hii barbiehahahahhahha