Natafuta mwanamke 35-50

Natafuta mwanamke 35-50

Some ladies speak on top of their voices such that even neighbors wanajua kila kitu. Wanaume wengi wanapenda mwanamke ambaye ni soft spoken

Kintiku ni hivi uchawi wa mwanaume yeyote ni mwanamke mnyenyekevu full stop. Hata wanawake hawa wachunaji, kwani si ndo silaha yao kuu? Mwanamke akisha kuwa mnyenyekevu basi hakuna kitu chake kitakwama kwa mwanaume.
 
Haswaaa hilo ndio linawafanya wanaume wanase. Hivi huyu Wema Sepetu unadhani kwanini wanaume wanahangaika naye sana? Lazima ana sifa za ziada, mojawapo ninayoifahamu ni ''ile soft spoken tone'' hata awe provoked kiasi gani. UNYENYEKEVU ndio uchawi

Mmmmmh! Kama upo Dar nenda utangaze pale Ubungo terminal kwa kutumia maiki kuwa "nataka kuoaaaaa"
 
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.

Welcome.
Hebu dokeza kidogo wasifu wk zaidi ya umri!
 
Haswaaa hilo ndio linawafanya wanaume wanase. Hivi huyu Wema Sepetu unadhani kwanini wanaume wanahangaika naye sana? Lazima ana sifa za ziada, mojawapo ninayoifahamu ni ''ile soft spoken tone'' hata awe provoked kiasi gani. UNYENYEKEVU ndio uchawi

Wema has two personalities. Hiyo the soft side ni kibiashara zaidi lakini ana ile the tough side ni hatari. Hujiulizi kwa nini ana kesi nyingi za kunyanyasa wafanyakazi/waandishi wa habari?!

Hata manager wake Martin aliwahi kukiri hili kwenye Mikasi.
 
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.

Welcome.

Fulsa hii.... Twende pm pls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom