Natafuta Mwalimu wa Twisheni Primary - 1Month

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wadau,
Natafuta Mwalimu wa kufundisha twisheni kwa mwezi mmoja tu!!
Masomo ni Hisabati na English,
Darasa la Sita, La Nne na La Kwanza,
Malipo ni Tshs Laki 4 kwa kipindi chote cha huo mwezi mmoja, (laki 1 kwa wiki)
Vigezo;
Awe wa kike,
Awe ana uwezo wa kuelezea na kueleweka kwa wanafunzi wake,
Ajue kumsoma mwanafunzi na kugundua udhaifu wake,
Awe anazingatia ratiba,
Otherwise mambo mengine PM inatosha
 
Tuition ya primary jamani..............kama ni wanao ndio wanahitaji jitahidi kujitoa muda wako uwafundishe mwenyewe na hiyo laki nne nenda kafanye shopping ya vitabu.
 
Tuition ya primary jamani..............kama ni wanao ndio wanahitaji jitahidi kujitoa muda wako uwafundishe mwenyewe na hiyo laki nne nenda kafanye shopping ya vitabu.

Wamefunga shule wapowapo tu home!!
Mi nimetingwa sana!!
 
Back
Top Bottom