Natafuta mwalimu wa kumfundisha mtoto wangu nyumbani

ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
623
315
Habari ndugu zangu" naomba kama kuna mwalimu anaweza mfundisha mtoto wangu nyumbani anitafute" mtoto ana miaka 3 na nusu" alikuwa anasoma lakini nafanya.

Taratibu za kumtafutia shule nyingine sasa kwa kipindi hiki nataka mwalimu wa kumfundsha asikae tu home kucheza" location ni tabata segerea seminary maeneo ya kituo cha police staki shari
 
habari ndugu zangu" naomba kama kuna mwalimu anaweza mfundsha mtoto wangu nyumbani anitafute" mtoto ana miaka 3 na nusu" alikuwa anasoma lakini nafanya taratibu za kumtafutia shule nyingne sasa kwa kipind hiki nataka mwalimu wa kumfundsha asikae tu home kucheza" location ni tabata segerea seminary maeneo ta kituo cha police staki shari
kwa muda gani mkuu
 
Unataka afundishwe kwa muda gani? Maana mqalimu anaweza kuja leo halafu kesho ukampeleka shule
 
habari ndugu zangu" naomba kama kuna mwalimu anaweza mfundsha mtoto wangu nyumbani anitafute" mtoto ana miaka 3 na nusu" alikuwa anasoma lakini nafanya taratibu za kumtafutia shule nyingne sasa kwa kipind hiki nataka mwalimu wa kumfundsha asikae tu home kucheza" location ni tabata segerea seminary maeneo ta kituo cha police staki shari
Wasiliana na hawa jamaa watakusaidia, piga namba zao au wacheki Facebook. Wanatoa huduma za kufundisha watoto nyumbani
1483700342324.jpg
 
Habari ndugu zangu" naomba kama kuna mwalimu anaweza mfundisha mtoto wangu nyumbani anitafute" mtoto ana miaka 3 na nusu" alikuwa anasoma lakini nafanya.

Taratibu za kumtafutia shule nyingine sasa kwa kipindi hiki nataka mwalimu wa kumfundsha asikae tu home kucheza" location ni tabata segerea seminary maeneo ya kituo cha police staki shari
bei gani unaliipa,?
 
Miaka 3 una mtafutia mwalimu aje nyumbani kweli pesa zinakuwasha bora ungemfungulia junior akaunti umuwekee akiba wewe miaka 3 tuisheni n ujinga mtupu
 
ungesoma thred vizuri uelewe kwanza kabla hujaandika mkuu
 
Miaka 3 una mtafutia mwalimu aje nyumbani kweli pesa zinakuwasha bora ungemfungulia junior akaunti umuwekee akiba wewe miaka 3 tuisheni n ujinga mtupu
tukisema kuna watu wameiba sna hii nchi watu wana Bisha.ona.sasa miaka.3tuition kweli.Hata kuongea tu bado ...... babbling nyingi.
 
Tatzo hawa watoto unakuta anaitwa Junior yan kumfundisha yataka moyo...anadekezwa nyumba nzima...unaweza kuwa unamfundisha akakimbilia kwenye hotpot akachukua wali wa jana akaja akakurushia juu ya nguo zako kisha akakucheka sna......wanakuwaga na changamoto sana tokana na malezi mdeko...ila cha ajab tunaiga western life, mbona wale watoto wa kizungu hawna huu ujinga tabia
 
Back
Top Bottom