Natafuta mwalimu Wa kijerumani

Natafuta mwalimu Wa kijerumani

Jamani na mm kama kuna mtu anayependa kufundishwa kirumi..aniambie😊... hesabu zote za kirumi nitamfundisha..kuandika 1_1000kwa kirumi nitahakikisha anakwiva!karibuni tuunge juhudi za mheshimiwa Raisi.. nakuhakikishia ndani ya jan kati kati lazma utembee kifua mbere kwa kuzisoma na kuziimba😊😊😊!"KALIBUNI"
Mwanafunzi nimekuja.Shikamoo mwalimu.
 
Back
Top Bottom