Bookkeeping
Member
- Jun 6, 2025
- 48
- 77
Natafuta mpenzi Ila awe mdada wa chuo
Nenda vyuoni.
Utapigwa tukio!
Njoo Mzumbe Mbeya hapa kuna totoz
Ukishampataa ujee utupee matokeo mkuuView attachment 3701728
labda anataka mdada wa chuo cha JFNenda vyuoni.
Ukitaka kumwona Simba nenda mbugani.
Ukitaka mwanachuo, nenda chuoni.
As simple as that.
Aaaah alafu mada kama hizi 🤔🤔🤔Natafuta mpenzi Ila awe mdada wa chuo
Dogo jitahidi ufanye mazoezi ya kutosha kila siku ili kupunguza hizi nyegez zinazoweza kuzuilika.Natafuta mpenzi Ila awe mdada wa chuo