Jenerali Ken
Member
- Mar 30, 2020
- 34
- 27
HESHIMA- mwanafunzi wa ngao ni lazima kuheshimu wazee, waalimu na wenzako .
.UADILIFU - fanya kazi kwa sadaka na uadilifu katika kila hatua.
.KUCHAPA KAZI - fanya mazoezi kwa bidii na kudumu katika kujifunza.
.USALAMA - jilinde ns uwalinde wengine daima usitumie nguvu kwa kujilinda tu.
.UMOJA - walimu wa ngao na wanafunzi, wote ni familia moja , shikamaneni kwa moyo mmoja pindi mtapokuwa katika shida au raha.
.
.Huu ni husia wa mkufunzi mkuu na muanzilishi wa mfumo wa ngao - self defense system kwa waalimu ote wa wanafunzi wao.