Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,846
Wakuu,natafuta mwalimu wa kunifundisha Aikido,awe hapa Dar es salaam
Aikido ndo nini mkuu?Wakuu,natafuta mwalimu wa kunifundisha Aikido,awe hapa Dar es salaam
Aikido ni Sanaa ya mapigano ambayo mtu anatumia nguvu za adui yake kummaliza mwenyewe.Mfano mzuri wa mtu anaecheza aikido ni Steven SiegelAikido ndo nini mkuu?
Ahaaaa!! KumbeAikido ni Sanaa ya mapigano ambayo mtu anatumia nguvu za adui yake kummaliza mwenyewe.Mfano mzuri wa mtu anaecheza aikido ni Steven Siegel
Kwema kamandaAhaaaa!! Kumbe
Kwema lakini mkuu
Vizuri sana kama ni kwema pande mkuuKwema kamanda
Hapana,hiyo ni Sanaa tu kama judo,kung fu,taekwondo...nk.Ningependa nijifunze hii Sanaa kwasababu sasa hivi angalau nina muda hasa kipindi cha jioni.Anemfahamu mwalimu wa aikido aniunganishe tafadhaliMbona kama unazungumzia mambo ya kwenye movie