Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

Uje nikufundishe kama kweli uko tayari

Unapatikana wapi mkuu?

Tai chi? Yupo Ila cjajua kama hayupo busy na mambo mengine na hata akiwa busy atakukabidhi kwa wachina..ntakupa jina kisha utafanya nae mawasiliano mwenyewe ni pm.

Mkuu anapatikana wapi huyu mtu

Mtafute Zola D ndiyo kazi zake hizi0

Zola d sidhani kama anaweza haya mambo mpe kuruka ruka tu yule

nenda jumba la magogoni pale kuna walimu wazuri wa ngumi

Jumba la magogoni pale makumbusho au

Ninjustu... shinobi... taikondo... na ninja training.

Natoa free kabiiisa.... km self defence.... ukitaka cheti ni pesa

Cheti cha nini watu wanataka wajue kuucharaza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom