Mwalimu wa Kiingereza natafuta nafasi ya kazi

Dee_Aristotle

Member
May 29, 2021
54
30
Habari zenu wanajamii.

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa dar es salaam na fani yangu ni ufundishaji wa lugha ya kiingereza(English as a second language) ama ESL kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam pia ni mwalimu mzuri wa "English literature" kwa level zote za elimu ya sekondari pia nina ujuzi na computer software nikisomea chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM-UCC) nikibobea kwenye internet essentials,e-mailing,ms word,power point na ms excel.

Nipo hapa nikiomba nafasi yoyote kazi katika shule yoyote ile ya sekondari nipo tayari kufanya kazi wakati wowote. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu🙏🙏🙏

Mawasiliano: 0783949279

Mahali: Dar es salaam
 
All the best Mkuu.

( Joking: Ambiguous title are you a teacher with England nationality or a teacher teaching English subject)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom