Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,329
Anza kuhudhuria Madrasa
Kuna jamaa aliua watu wa 3 bar kwa penseli tu Ile ya hb.Krav Maga ndo kila kitu.. kung fu ushachelewa hapo maana hata msamba huwezi tena viungo vimekomaa.
Uzuri wa krav maga haina formula ya kupigana. Ila unatakiwa uwe na confidence na mwili uwe strong.
Krav maga unatumia mpaka ufunguo kupigana.. mfano; unaweza kumchoma mtu ufunguo wa pua, au unampiga ufunguo wa jicho. Au unapiga kitovu au mapumbuu ..
Na sifa ya krav maga ni kwamba ni shambulizi la kushtukiza na la haraka. Hauna haja ya kupigana na mtu madakika just 10 seconds and you are done adui ushammaliza
Ndo Krav Maga yenyewe hiyoKuna jamaa aliua watu wa 3 bar kwa penseli tu Ile ya hb.
Baba YagaKuna jamaa aliua watu wa 3 bar kwa penseli tu Ile ya hb.
Hii imekaa kuoteana oteana ivi...Krav Maga ndo kila kitu.. kung fu ushachelewa hapo maana hata msamba huwezi tena viungo vimekomaa.
Uzuri wa krav maga haina formula ya kupigana. Ila unatakiwa uwe na confidence na mwili uwe strong.
Krav maga unatumia mpaka ufunguo kupigana.. mfano; unaweza kumchoma mtu ufunguo wa pua, au unampiga ufunguo wa jicho. Au unapiga kitovu au mapumbuu ..
Na sifa ya krav maga ni kwamba ni shambulizi la kushtukiza na la haraka. Hauna haja ya kupigana na mtu madakika just 10 seconds and you are done adui ushammaliza
Mafunzo kama haya sio ya kumfundisha kila mtu,itakuwa ni hatari Uraiani. Maranyingi wanapewaga watu maalum katika UlinziKrav Maga ndo kila kitu.. kung fu ushachelewa hapo maana hata msamba huwezi tena viungo vimekomaa.
Uzuri wa krav maga haina formula ya kupigana. Ila unatakiwa uwe na confidence na mwili uwe strong.
Krav maga unatumia mpaka ufunguo kupigana.. mfano; unaweza kumchoma mtu ufunguo wa pua, au unampiga ufunguo wa jicho. Au unapiga kitovu au mapumbuu ..
Na sifa ya krav maga ni kwamba ni shambulizi la kushtukiza na la haraka. Hauna haja ya kupigana na mtu madakika just 10 seconds and you are done adui ushammaliza
mtaje na sehemu ya kujifunza hiyo krav maga niende nikajinoe na ni mda gani nitakua poa kabisaKrav Maga ndo kila kitu.. kung fu ushachelewa hapo maana hata msamba huwezi tena viungo vimekomaa.
Uzuri wa krav maga haina formula ya kupigana. Ila unatakiwa uwe na confidence na mwili uwe strong.
Krav maga unatumia mpaka ufunguo kupigana.. mfano; unaweza kumchoma mtu ufunguo wa pua, au unampiga ufunguo wa jicho. Au unapiga kitovu au mapumbuu ..
Na sifa ya krav maga ni kwamba ni shambulizi la kushtukiza na la haraka. Hauna haja ya kupigana na mtu madakika just 10 seconds and you are done adui ushammaliza
Ulimwengu wa sasa hauitaji hayo manguvu,labda kama unataka kuwa mlinzi.
Anza kuhudhuria Madrasa
Download hata vitabu online utapata basics nzuri. Kikubwa wekeza kwenye mazoezi ya kawaida pumzi, pushup na hata chuma kidogomtaje na sehemu ya kujifunza hiyo krav maga niende nikajinoe na ni mda gani nitakua poa kabisa
Fo self defence na kujiamini tu sio mbaya. huwez jua siku utayatumia so ni vizur kujiweka fitMafunzo kama haya sio ya kumfundisha kila mtu,itakuwa ni hatari Uraiani. Maranyingi wanapewaga watu maalum katika Ulinzi