MALAMSSHA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 448
- 158
Ninahitaji muuza duka la vitu vidogo vidogo.
Sifa na masharti:
atalala kwangu
Awe msichana kutoka Rombo .Asihofu nina mke na watoto.
kuanza kazi saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku
Jumapili kuanzia saa sita mchana mpaka saa tatu.Jumapili moja kwa mwezi atapumzika.
Mshahara kati ya 50,000 na 70,000
Aliye serious atume message kazi kwenda 0755 489 473