Natafuta muuza duka

Natafuta muuza duka

We ushachemka, hayo masharti yote hivo utampataje mtu mwenye akili timamu?
 
Wapendwa duka lipo.Maeneo ya shopaz plaza karibu na kwa Nyerere. Milo yote na kulala kwangu.
Muhimu ni hivyo vimasharti vyote vina maana nzuri.
Msichana kwa kurahisisha sehem ya kulala.Kuna chumba cha wadada tayari.Mrombo nawajua na ni rahis kufuatilia mambo yakienda kombo.
 
Awe anatoka Rombo? maana yake unakusudia mwanamke wa rombo? halafu unasema una mke na watoto, kazi kuuza duka! hahahahaha! haya kila la heri mkuu!
Nipo serious na vigezo vyangu vina maana
 
70000? Ahahaha me natafuta wa kuniuzia duka la nguo za kike nina wiki ya tatu na mshahara wangu ni 130-150 na sijapata ndg ukipata nitonye
Mkuu nina ndugu yangu ni 19 yrs atakufaa sana kwenye biashara yako ya nguo.Nina hakika hutojuta kuwajiri maana ni binti wa kujituma.Kama upo serious ni PM nikuunganishe muonane.
 
Mkuu nina ndugu yangu ni 19 yrs atakufaa sana kwenye biashara yako ya nguo.Nina hakika hutojuta kuwajiri maana ni binti wa kujituma.Kama upo serious ni PM nikuunganishe muonane.
Nipo ukinihitaji....nakaa kwetu mie kuhusu kunionea huruma ucjali
 
70000? Ahahaha me natafuta wa kuniuzia duka la nguo za kike nina wiki ya tatu na mshahara wangu ni 130-150 na sijapata ndg ukipata nitonye
bado hujapata? upo sehem gan. binti yupo na anauzoefu wa kuuza duka la madawa kwa miaka minne. so nitafte kwa no hi 0755875710
 
Back
Top Bottom