Natafuta mume

Natafuta mume

Nipo tayari km hajajitokeza ni PM
 
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA UPENDO WA DHATI.

Mm nina miaka 28,mwajiliwa serikalini,mrefu mnene wa wastani,mweusi,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,kama upo serious achia namba nikupigie.
Watu wanaoishi mwanza,watapewa kipaumbele zaidi..

0755090831
 
wellcome
 
Naishi,nyegezi mwanza.

Nivema akapatikana wa mwanza au mikoa jirani ili tuweze ishi pamoja kwa wakati kama Allah atajalia.SAMAHANI,POST HII NI KWA WALE WAHITAJ TU MAANA NAMAANISHA.
Nitafute haraka sana nimekidhi vigezo vyote.......
 
Pm, miaka 35, mwajiriwa wa serikali. Muislam, siyo mbaya kusema mimi ni Engineer.

Kama uko seriuos PM. Nikutumie namba uniwekee photo whatsup. Niko Dar!
 
Najua ila s tunaarifiana tu mapema kuliko kunifanyia haya unayoyafanya hebu fikiri ayda bado mdogo utamchanganya

sasa si bado kwanza nakaguakagua, nikishaona parking ndiyo nitakujuzeni rasmi. Ayda wala siwezi kumchanganya, anajielewa sana.
 
Heheheeeiiyah teh teh uliona raha kunishtaki sasa naona na wewe yako umejionea mwenye sasa ndo anatumiwa picha PM lol hahahaha kama nakuona teh teh

Ahhha wala huyu tunajuana wenyewe waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba si et CYBERTEQ ahhha hatumiw picha mtu hapa nyumba itakua haikaliki ahhahhhhhha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom