Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Hahahahaha basi hata kama akuzingua utasena sasa hiyo inaitwa siri yako usimwambie mtu,sasa ngoja apate parking kama alivyo sema ndo utajutaa
Ahhha wala huyu tunajuana wenyewe waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba si et CYBERTEQ ahhha hatumiw picha mtu hapa nyumba itakua haikaliki ahhahhhhhha
Last edited by a moderator: