Natafuta mume

Natafuta mume

Tatizo umebagua dini ila vigezo vyote vingine ulivyovitaja ninavyo,,,,,,,,
 
Mim ni muslim 30year nipo bunda
Ni pm na shida kama yako

una shida kama yangu? ipi hiyo dada? kama ulikuwa unatafuta mchumba weka tangazo tu dada watakuja. me nimeshaoa na sina mpango wa kuoa tena dada yangu. kila la kheri dada yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom