Natafuta mume

Natafuta mume

mayname

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
30
Reaction score
8
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA UPENDO WA DHATI.

Mm nina miaka 28,mwajiliwa serikalini,mrefu mnene wa wastani,mweusi,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,kama upo serious achia namba nikupigie.
Watu wanaoishi mwanza,watapewa kipaumbele zaidi..
 
Ok fine,but u a not the one who is......
 
ninakuhitaji lkn umri umezidi hapo, haitoshi pia niko dsm. je umesoma dini kwa kiasi gani...?
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA UPENDO WA DHATI.

Mm nina miaka 28,mwajiliwa serikalini,mrefu mnene wa wastani,mweusi,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,kama upo serious achia namba nikupigie.
Watu wanaoishi mwanza,watapewa kipaumbele zaidi..
 
Daaaaaaah..........Kwahiyo sie wa bodaboda hatuna chetu?
 
Je upo tayari kuwa mke wa pili ?
 
suala la kuolewa mke wa pili hapana,elimu kuhusu dini ni kiwango kidogo mno,kama vile sijasoma nahitaji yeye awe nuru kwangu.
 
Naishi,nyegezi mwanza.

Nivema akapatikana wa mwanza au mikoa jirani ili tuweze ishi pamoja kwa wakati kama Allah atajalia.SAMAHANI,POST HII NI KWA WALE WAHITAJ TU MAANA NAMAANISHA.
 
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA UPENDO WA DHATI.

Mm nina miaka 28,mwajiliwa serikalini,mrefu mnene wa wastani,mweusi,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,kama upo serious achia namba nikupigie.
Watu wanaoishi mwanza,watapewa kipaumbele zaidi..

je una bikra ya mbele na nyuma??? sio ya kichina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom