Natafuta mume

Usipate tabu nami niko single karibu tusongeshe maisha

Ishakuwa tabu dada kuwa makini naona majirani zetu wanakunyemelea asije akaja mtu na gia ya kuoa kumbe makaratasi :becky:
 
Kwakuwa umesema unataka mtu mwenye uwezo na ikiwezekana hata mzungu basi nakushauri uwasiliane na Mange Kimambi ambaye atakupa mbinu zote za kuwapata hawa unaohitaji,yeye ni member hapa kwa jina lingine au tuma ujumbe kwenye blog yake.
 
Kwakuwa umesema unataka mtu mwenye uwezo na ikiwezekana hata mzungu basi nakushauri uwasiliane na Mange Kimambi ambaye atakupa mbinu zote za kuwapata hawa unaohitaji,yeye ni member hapa kwa jina lingine au tuma ujumbe kwenye blog yake.

Wadada zetu wanakazi sana anataka mtu mwenye uwezo mwanaume mwenye uwezo huwa hatafutwi hiyo kwenye blog ya Mange Kimambi wanadanganyana kweli na kupeana mbinu za ndizo sio za kunasa wanaume wenye hela mwingine yuko radhi hadi kwenda kwa waganga maskini POOR THEM ndio maana wengi wanaangukia kuonjwa onjwa na kuachwa kama ice cream za bhakressa
 
Dada usije ukajikuta umefikisha wanaume buku bila kuolewa,tulia bana.
 


hyo red, sasa huko si do kua desparate!!
manake its like unataka kuolewaa kwasababu wenzako wameolewa na
hata wale wenye tabia mbaya kuliko wewe wanapata waume ila
wewe bado tu huolewi.

Dada vumilia, na amini sio wewetu mwenye shida ya mwenza, wapo wenzio kibaaaaaaao
wenye shida kama yako.
lakini pia usireflect maisha yako kwa maisha ya wenzio, maisha yako ni maisha yako na yao ni yao.
Pa jitahidi sana kuichanganya katika maeneo wanakopatikana aina ya wanaume unaowapenda.

huwezi kumpenda mtu from no where, lazima umwone, au muwasiliane, m treatiane, uone ana nini
ulinganishe na unachotaka.

Finaly, dada kupenda (falling in love) ni kitu automatic, nim bahati, ni baraka, ni kitu ambacho kina self mandate
huja pale kinapotaka na kuondoka pale kinapotaka, kwa yule kinapotaka na sio vinginevyo.
kwa hiyo vumilia, mwombe mungu akubariki katika hilo.

kila la keri.
 
Duh!so unataka kuolewa coz ya friendz zako wameolewa??!! pole dada but jus wait utampata 2 wa kukuoa.
 

wasiliana nami kwa email leonardjonnie@rocketmail.com
 



Boflo bora niku PM tu .....
 
bt msimdanganye mwezenu msije mkawa mafanya research za chup funua funika ndo zenu?mwezenu anatafuta mume uyo !!!!

This is unfair, why are you thinking JF bachelors that way....huh!!, by the way, do you know Miss Boflo in personnal that is cheap to be cheated....or You just want to spoil her mission...huh!!!! .. Tell us.
 
Naomba tuwasiliane kama kweli upo serious nitumie contact zako kupitia email yangu pia niandikie namba zako za simu na uniambie uko mkoa gani myemail is ezyayiemba1984@hotmail.com
 
ooooh! nipo hapa, nilizaliwa kwa ajili yakooooooooo!
 
Boflo pls ni PM sasa hivi.Hakika na kweli mwenza umempata.Angalia hata thread yangu Re: Mchumba serious anahitajika yamkini ndiwe ,Tafadhali sana ni PM leo leo usikose , Nakuomba sanaa!!!
 
ka huendi disco kalaghabaho mana huko ndo utapata mume chapchap ila sidhani ka atakua mwema
 
Mashauri yako...hua yaniamsha mawazo mazuri hakika!
Hapo nmepata new idea!.
Kumbe ndivyo ...hua hivyo!!!
 
u don't have to be married because most of ur friends are married and are pointing finger at you,marriage is a serious issue u don't have to do it simply u want to please others, u will regret
 
mie nakutaka ila mie bado mdogo.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…