Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 88
- 240
Saiv nina miaka 47 sina mtoto wala mke wala sipo kwenye mahusiano.nimeona niwaachie vijana mzee nimechoka na hayo maisha.
Kama unaweza kuzizuia nyege hongera mkuu keep it up!...Saiv nina miaka 47 sina mtoto wala mke wala sipo kwenye mahusiano.nimeona niwaachie vijana mzee nimechoka na hayo maisha.
Kuna mtu namfahamu 60+ Hana mke wala mtoto na anapiga kazi na kufurahia maisha..... 🤔liar