Natafuta Mume

Natafuta Mume

Umri umesogea yaonekana nia kubwa hapa ni NDOA haya tuambie dini gani?
 
Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume.

nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach
Karibu sana. Mimi nina miaka34, sijaoa, ninatafuta mke kwa spidi kubwa.
 
Nina miaka 49 mke wangu alifariki mwakajuzi aliniacha na watoto 2 sasa naona bwana amesikia kilio changu nahitaji mke vp tumeelewana?
 
Safari njema uko uendako.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
funga huu uzi... ntalipa gharama zote!
 
Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume.

nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach

Wishing you all the best, naona watu wako fasta ishu ni kupata the right person!
 
Asee hili zari ndo nlikuwa nalisubiri. NimekuPM namba yangu, hebu nitext namba yako tufanye yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom