Natafuta mume

Pm au nichek @0783164488 kama utakubal kuwa bi mdogo
 

Ni pm once u see this am serious
 
na ndio maana nikasema me mhaya ili watu kama nyie ambao mna aleji msisumbuke..

hahahah...kwa kweli aleji lazima ilindwe kwa kila namna. mie napita tu maana nina aleji kali sana na nyie akina nshomire hadi samtaimz huwa narudisha chenji...good luck koku
 
no offense but comments zako zinaonyesha wewe ni tough cookie...mawifi watakomaje!
 
Hvi ww kaka una nin?nakuona toka nikuambie siwezi kua na mtu mwenye umri chini yangu unahangaika...mbna nilikua mstaarabu sana kwako?jielewe basi

Wewe keep busy!! mm nina mke bwana, siwezi nikafanya ujinga kama huo.
 

nyegela waitu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…