Natafuta mume.

Misijasem Kuwa wakati mwingine unamwaga pumba. nilikuwa namaanisha point kubwa kuliko za siku zingine Asprin dont quote me wrong kumradhi bana si unajua kiswahili shida huku

Safi sana mtoto mzuri. Haya hebu come this way tusameheane kwa vitendo.

Mi huwa nafurahigi sana asee.
 
Ina maana siku zote huwa namwaga pumba kama Kongosho na King'asti?

Ntake radhi kabla sijakasirika.

Mi nakasirikaga sana jamani.
Ulkikuwa hujui huwa unatema vepa??

Misijasem Kuwa wakati mwingine unamwaga pumba. nilikuwa namaanisha point kubwa kuliko za siku zingine Asprin dont quote me wrong kumradhi bana si unajua kiswahili shida huku
Usiombe msamaha, ni kawaida yake huyu kutoa vepa
 
Kiukweli kabisa nivea siamini kama ni wewe umepost hii makitu. Kuna mtu kakuibia password yako?

Naamini hata Ciello uliyem-mention hawezi kuisapoti kauli yako hii ya kukatisha tamaa na kubeza kwa kiwango hiki.

Nakushauri usirudie maneno ya kejeli namna hii kwabinadamu mwenzako atafutaye kwa dhati.

Haya tuyafanyie kule chitchat

Ahsante
lol umefikaje huku mzee wewe mie najua nasemelea chumbani kumbe uko sebuleni haya nimesikia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom