Natafuta mume.

Asante sana kwa elimu. Anyway maana yangu ilikuwa kwamba menopause si kikwazo
Menopause inaweza kuwa kikwazo in one way or another, vp kama ni mvutaji? au anafanya diet sana kama dada zetu wa siku izi? no offence but anything is possible japokuwa si wakati wa ku-judge yote hayo, dada anataka mchumba umri umemtupa mkono
 
VIGEZO NA MASHART KUZINGATIWA, imekaa kama promotion ya tigo vile.....samahan lakin

Kila jambo lina terms and conditions..na katika hili watu wawili lazima wakubaliane ili kufika mwafaka.. usitishike mkuu sio matangazo ni nia njema tu ya kujenga
 
Menopause inaweza kuwa kikwazo in one way or another, vp kama ni mvutaji? au anafanya diet sana kama dada zetu wa siku izi? no offence but anything is possible japokuwa si wakati wa ku-judge yote hayo, dada anataka mchumba umri umemtupa mkono

kwa hiyo kama umri umeenda unataka nisiwe na mwenza au mpenzi/mume?sikuelewi
 
Dadangu Hiroko usikatishwe tamaa na hawa wanaokubeza. Mungu yu mwema na msikivu wa vilio vya waja wake. Endelea kumuomba wakati nami nikikuombea.

Nakushauri wasamehe wote wanaokubeza kwakuwa hawajui walifanyalo. Yesu alibezwa seuze wewe.

Mwisho wa siku watajutia vibezo vyao. Roho zao zitawasuta utakapoleta ushuhuda hapa wakati nao washakuwa "wazee"

Mungu na akuongoze katika njia zako.

Sprin Kuna wakati unatoa point mpaka na kukubali. ushauri mzuri huo
 
Miaka 35 mpaka 40.
Elimu kuanzia form six na kuendelea.
Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali.
Awe mkristo.
Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi.


Mimi nina miaka 35. mkristo
Elimu degree.
Nafanya kazi.
Kwa aliye serious plz tuwasiliane kwa pm au email valevale1133@yahoo.com.

Kama huna la maana la kuongea piga kimya na utabarikiwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa..

Uwe makini ndugu! Si kila atakae kua anakuambia anakupenda atakua anamaanisha! Kila mtu na bia yake, usiamini sanaa love za kwenye social network ni wachache sana wanamaanisha wanachkisema.
Kila la kheri!
 
Wewe sema amina tu hapa. Anakuja kama kondoo, akigeuka anakurarua,lol. Asprin, wakezo 4 hawajambo? Na wale masuria je?

Hahahaha! mwone kwanza! Hujui leo ni siku ya Bwana yatupasa tumtumikie.

Wote hawajambo ila niko kwenye mchakato wa kutaliki mmoja baada ya mmoja niingize matoleo mapya lol
 
Last edited by a moderator:
Ina maana siku zote huwa namwaga pumba kama Kongosho na King'asti?

Ntake radhi kabla sijakasirika.

Mi nakasirikaga sana jamani.

Misijasem Kuwa wakati mwingine unamwaga pumba. nilikuwa namaanisha point kubwa kuliko za siku zingine Asprin dont quote me wrong kumradhi bana si unajua kiswahili shida huku
 
wewe mtafute mwenyewe alipo huna haja ya kueleza kila kitu hapa yeye ametoa taarifa yake sasa wewe wasiliana nae kwani mpaka e mail ametoa, sasa usimpotezee muda hajakuuliza mshara wako wala kazi uifanyayo
Mimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!
 

Uwe makini ndugu! Si kila atakae kua anakuambia anakupenda atakua anamaanisha! Kila mtu na bia yake, usiamini sanaa love za kwenye social network ni wachache sana wanamaanisha wanachkisema.
Kila la kheri!
Thanks and noted for future use...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom