Noah the lastborn
Member
- Dec 26, 2025
- 80
- 112
Moja kati ya kosa ambalo kaka yangu kalifanya na anasisiitiza nisilifanye kuoa single motherMimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu,
Namba ni 0625221348
Moja kati ya kosa ambalo kaka yangu kalifanya na anasisiitiza nisilifanye kuoa single motherMimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu,
Namba ni 0625221348
Muda ndo msema kweliYou see now, kigezo ni kimoja tu wakuu...AWE MWAMINIFU!!
Username Yako 🤣Weka vigezo
Username Yako
Usije ukawa ni huyu binti wa Kimakonde hapa kwenye M-pesa ninayemvizia! Ila miaka 36 na singo maza wewe siyo binti tena!Mimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu,
Namba ni 0625221348
Wee huitaji kuongeza mchuchu lo??
Nimefurahi ulivyo mpa moyo.Mungu akupe hitaji la Moyo wako!
Aaamini!Nimefurahi ulivyo mpa moyo.
Naamini kwa dua yako atafanikiwa
🤓Tukuelewe vipi, wewe ni binti au single mother?
Chitoholi😂😂Nakukatia tiket uje tandahimba keshokutwa asubuh na mapema
😀 mbona kama unamuhukumu, Je what if kama yeye ndiye aliyedanganywa na baba watoto wake, kisha akakimbiwa akaachiwa watoto.Awe muaminifu wakati ulishindwa kuwa muaminifu ktk subira ili upate mume muanze wote maisha!
Acha masihara basi.
Dunia hii unatafuta mume kwer🌝Mimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu,
Namba ni 0625221348
Mtuu asiitwe pilikapilika kwa amani ☺️mwaka 2024 ulitutangazia unatafuta mume mcha Mungu, na ukadai wewe ni 24 yrs.
Surprisingly, leo ni 2026 (two years later) na unadai upo na miaka 36.
From this trend, I guess two years later (2028) utarudi tena kutafuta mume, ukiwa na mtoto mwingine.