Natafuta Mume

Natafuta Mume

Kama uliandika huu ukiwa na lengo kweli mungu wako atakusaidia lakin kama uliandka kutaka coment wana juwaa hawalewi kukupa coments ok fanya jambo moja tu na utampata umtakae na jambo lenyewe ni ukae ndan mwezi mzima bila kutoka kwenu au unakoishi hadi hata mashoga zako wakuulize ulienda wapi na jibu uwape kuwa nipo home. Usiwadanganye kuwa umesafiri ww waambie tu upo home nimeamua kuchange lifestyle mwaka huu. Ndio wakubeza kuwa umeanza kulinga wakutangaze kwa wengne na hapo ndo mmoja wa karibu yako atachukua point flani za kukutafuta kwa lengo la kuoana na sio lengo la kutoka out coz kutoka out kuna mambo meng. Ngoja narudi kukumalizia ambapo hujaelewa
 
5F872714-2964-4F17-9B38-E0A3B5B326ED.jpeg

Mambo ni mengi..
 
Wewe ni mwanaume sijui kwanini unafanya huu upumbavu ili wanawake waonekane wana uhitaji wa ndoa wakati si kweli..!!

Hebu acha upumbavu..!!
NENDA insta KULE Kuna yule DADA KAENDA Hadi eatv na bango ANATAKA MUME, we unadhangaa huyu? Mnataka NDOA KWELI kwani KUTAKA kuolewa nikujidhalilisha, kama we IMEOLEWA usijumuishe wote wacha WENGINE wajisalimishe wasaidiwe dada, usiganye hivo
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa
Tarehe 20 sept 2024 aliweka nyuzi kama hii akitafuta mme wa kuoa na akaweka namba za simu ambazo ni 0788894641

Atoe kwanza mrejesho kuwa kuanzia tarehe 20 sept 2024, nini kilitokea?
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa
Tarehe 20 sept 2024 aliweka nyuzi kama hii akitafuta mme wa kuoa na akaweka namba za simu ambazo ni 0788894641

Atoe kwanza mrejesho kuwa kuanzia tarehe 20 sept 2024, nini kilitokea?
Ushasikia pilikapilika! Relaxxx..
 
Unatafuta mume na chupi umeshika mkononi wewe ni nyau kweli, lea watoto wako kwanza wewe shughuli imeshakwisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom