Natafuta Mume

Natafuta Mume

Unataka mume? Njoo kwangu ila ukidhi viwango na matakwa yangu, uwe na umri kuanzia miaka 18 hadi 40, uwe haujawahi kuolewa na hauna mtoto, elimu kuanzia la saba hadi chuo kikuu, uwe na akili timamu, usiwa mlevi, usiwe malaya. Kuna upendeleo utapata wa kulegeza masharti kama utakuwa na tabia nzuri
 
Usijibu comment nyingine tena baada ya hii. Ukitaka nikuoe
Nitakupigia asubuhi niko naongea na sheikh ili tufunge ndoa asubuhi .

Shahidi atakuwa dada yangu nimeshamuambia na hapa ameanzq kukanda maandazi ya watu kula hapo kesho kwenye ndoa yetu .

Usiku mwema mpenzi wangu na mke wangu mtarajiwa .

Wabillah wataufiq
Nimei-quote hii comment doc usije kuikana kama ya mama 5😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom