Natafuta Mume

Natafuta Mume

Salam aleykum
Tafadhali usifanye hivyo tena tumeoana jana na sasa niko kazini nimemuwacha kitandani amelala.

Taarifa iwafikie mnaotuma meseji na kupiga simu ,simu yake ninayo mimi hivyo acheni mara moja kablq sijawaumbua
Sijapenda! Unaoa bila kutualika ndugu zako!!
 
Sijapenda! Unaoa bila kutualika ndugu zako!!
😃😃 nioe wapi dada ? Nipo kupambania jambo maana naona vizee kwa vijana vinataka kunizidi kete inabidi nijitanabaishe kuwa Nishimuoa walau wakae mbali naye nione kama atalielewa toto la kizaramo hapa
 
Wewe ni mwanaume sijui kwanini unafanya huu upumbavu ili wanawake waonekane wana uhitaji wa ndoa wakati si kweli..!!

Hebu acha upumbavu..!!
 
Basi hujui mambo mengi sana, endelea kuishi..
Sema utakavyo, huondo ukweli.. Tamaana na ufinyu wa kufikiria vinawaponza.. Endeleeni kujiita masuper woman akati mmetobolewa nje na ndani.
 
Sema utakavyo, huondo ukweli.. Tamaana na ufinyu wa kufikiria vinawaponza.. Endeleeni kujiita masuper woman akati mmetobolewa nje na ndani.
Unaongea kwa uchungu sana, siwezi kubishana na wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom