Hakikajamani,tukiumizwa na mapenzi tusiwe tunayasusa,umri huwa unaenda,,,,ingawa sababu ni nyingi labda kafiwa na mwenza.
Lete mchumba tukuozeshe!Uncle fanya uniozeshe na
mimi nisijewasumbua baadae 😂😂😂😂😂
Dah mkuu sikuona mapema huku.. ule uzi wangu ulikuwa wa moto sana pia mtandao ulikuwa unazingua.Madam msubir Tajiri Sina BAYA anakuja
Nilichelewa mkuu Asante lakini kwa hii pasi ya upendo.
Unachokitaka tushakijua ..Mimi nina miaka 34.
Kiatu kabla hujanunua ni lazima ukijaribu kama kinakutoshaUnachokitaka tushakijua ..
Ukipewa tu mbio kama zote
Hapo nipo mnapounguzia pichaKiatu kabla hujanunua ni lazima ukijaribu kama kinakutosha
Achana nae uyo bwana..Em ngoja kwanza madam, hapo unaongelea kipato cha kuihudumia familia una maanisha ipi sasa, hiyo yako au yenu?