financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,360
Hivi Zesh hukupata wengi wengi, unipasie na mimi huku jamani
,undugu ni kusaidiana ujueee
,undugu ni kusaidiana ujueee
,undugu ni kusaidiana ujueeeHahahaha
Mmmh, mbona kama unanipambanisha mkuu, wewe umemshindwa eeehNaomba nikupe mtu chake

Na Mimi nipo hukuHivi Zesh hukupata wengi wengi, unipasie na mimi huku jamani,undugu ni kusaidiana ujueee


Nishakosa sifa !Nina kitambiSalaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
inaondoa kitambi?Kunywa juice ya ukwaju
Firstborn mamboo, uko single?Na Mimi nipo huku![]()
Basi Mungu mwema, tujidouble tu haina jinsiBado sijawa double![]()

Zesh bdo hujapata mume?Ndiwoooo