Kama hautojali unaweza nitafuta mimi DmSalaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo:
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile
Sifa za mimi:
Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM
Ahsanteni sana
Hebu fungua PM ,tuyajenge kdg ,hii nyumba inahitaji msimamiziNgoja kwanza I'd yako nyingine ni ipi
Ngoja kwanza I'd yako nyingine ni ipi






Hahahahahahaha pm yangu haifunguki

Ntakufungulia geti tarehe 24 mwezi huu usijali dear😉Ama kweli wanaume tumeumbwa kuteseka tu, yaani hapa ninavyosubiria geti lifunguke wacha tu.
Mother Confessor alinijibu mahali nilipokuwa naomba ruhusa ya kuingia PM kwake mods wakafuta uzi.!![]()
Jamaaniii ... we ndio wanakunifanyia hivi kweli ??Ntakufungulia geti tarehe 24 mwezi huu usijali dear![]()
Jamaaniii ... we ndio wanakunifanyia hivi kweli ??
Mtego huo
Muda ukifika nitasema mkuu 🤣🤣🤣🤣Unataka kutafiti nini![]()