Natafuta mume

Natafuta mume

Duuh mm mchilamu alafu dalasa lasaba duu nime kukusa hivi hivi
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
Huyo hapo atakufaa
310e8e828f7e4997a967ebebc686effc.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom